Exodus 34:1

Vibao Vipya Vya Mawe

(Kumbukumbu 10:1-5)

1 a Bwana akamwambia Musa, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, nami nitaandika juu yake maneno yale yaliyokuwa kwenye vile vibao vya kwanza, ulivyovivunja.
Copyright information for SwhKC